USIKU MWEUSI mwishoo kuanzia kesho inakuja kali zaidi naiman wengi mtaipenda
Maoni 6 :

 1. Asante sana mtu wangu wa nguvu nakuaminia yani 100💯📶 tumeisubiria kwa shauku kubwa maana sie wengine hatuna watoto wa kutulilia ni bora nishinde njaa ila mb ziwepo kwenye sim yangu

  JibuFuta
 2. poa poa mkali tupo pamoja

  JibuFuta
 3. Mkali wangu bado tumesubiria mashine mpya

  JibuFuta
 4. Me nahitaji utupie kigongo. Cha The Monster(Katili) nataka niicheki mwanzo mwisho

  JibuFuta
 5. Ikiitupia hiyo series itakuwa poa zaidi

  JibuFuta

Inaendeshwa na Blogger.