Cheka na Hii ya Huyu Mwanamke na Mumewe


Mume: Hallo my queen...

Mke: Nambie my darling...
Mume:: Nimekumiss honey...
Mke:: Hata mimi nimekumiss ile mbayaaa..
Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..
Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..
Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......
Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....
Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....
Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...
Mke:: Nawakutoe yote....bora ufe tu....hunafaidayoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.