👉😁 Angalia huyu daktari anachokifanya, Udocta noma!!😂👇✔

Dokta alikuwa anakwenda kwenye Semina hivyo akamuachia majukumu Msaidizi wake Jason.
Dokta: "Jason nakwenda kwenye Semina hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!"
Jason: "Ndio mkuu!"
Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason..
Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa kwanza kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol"
Dokta: "Safi sana na wapili?"
Jason: "Wa pili alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl"
Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa tatu  je?
Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka miaka miwili sijamuona mwanaume!
Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?"
Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.