SMS: BINTI na Baba Yake


"BINTI ALOPOONA TXT KWENYE SIMU YAKE"


Hi, Mrembo una Boyfriend?

BINTI: Ndio ninaye Kwani wewe nani?

"Mimi Baba Yako Naomba Nikukute Hapo Nyumbani Unieleze Vizuri"

Baada ya Muda Kidogo Akapokea TEXT nyingine namba Ngeni.

"Helow una Boyfriend?"

BINTI: Sna Kabisa but wewe nan tena?

"Mi ni Boyfriend wako nilitaka nijue unavyojisifia kuwa na mimi, kweli nimegundua hunipendi"

BINTI: Oh! Sorry bby nilijua baba angu mana ametoka kuniuliza swali hilohilo.

Ndio mimi ni Baba ako yan leo utantambua nikirudi huko, Shenzi wewe.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.